Mgomo wa wauguzi waingia siku ya pili hii leo
Published on: June 06, 2017 09:26 (EAT)
Watu sita wameaga dunia katika kaunti ya Mombasa huku mgomo wa wauguzi ukiingia siku yake ya pili. Kina mama wakilazimika kujifungua kwenye magari huku tume ya kuratibu mishahara ikishikilia kuwa kiwango cha pesa wanachotaka kuongezewa ni kikubwa mno na kukataa mapendekezo yaliyotolewa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment