Mgomo wa wauguzi wazidisha matatizo hospitalini


Mgomo wa wauguzi umeendelea kwa mwezi wa tatu sasa huku hali katika hospitali za umma ikizidi kuwa mbaya. Wagonjwa wengi wamelazimika kutafuta njia mbadala za kutafuta matibabu lakini hilo linakuja na gharama yake.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Citizen Team
More by this author