Mifugo washuka bei Maralal, Samburu


Wafugaji kutoka kaunti ya Samburu wanaitaka serikali ya kaunti pamoja na serikali kuu kuwaokoa kutoka kwenye hasara kubwa ya bei wanayokumbana nayo kwa sasa kwenye soko la mifugo wao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author