Miili ya Wasichana walioangamia shuleni Moi yatambuliwa


Shughuli ya kuitambua miili ya wasichana tisa walioangamia kwenye mkasa wa moto katika shule ya upili ya wasichana ya Moi hapa Nairobi imefanyika hii leo. Hafla hiyo imesheheni majonzi wakati familia na jamaa ya walioangamia ikiwatambua wapendwa wao.
Makori Ongechi alishuhudia shughuli hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author