Mikakati kabambe yawekwa kudhibiti ajali barabarani

Mashirika ya uchukuzi wa umma ambayo madereva wao wanasababisha ajali za barabarani na kusababisha vifo sasa yatafutiliwa bali huku madereva husika wakipokonywa leseni ya udereva. Hii ni kwa mujibu wa waziri wa uchukuzi James Macharia ambaye pamoja na mwenzake kaimu wa usalama Fred Matiang’i wametangaza baadhi ya mikakati kukabiliana na ongezeko la vifo vya ajali barabarani, huku vyuo vya mafunzo ya udereva vikitakiwa kutafuta leseni yao upya.

Tags:

NTSA Road Accidents road carnage

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories