Mikakati ya Wiper Ukambani


Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka amekutaka na viongozi wa chama hicho kupanga mikakati ya kampeni za muunagno wa Nasa kabla ya uchaguzi mwingine wa urais kuandaliwa. Kulingana na Kalonzo mahakama ilitenda haki kwa kubatilisha uchaguzi wa urais.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author