Mikakati yawekwa kuzuia udanganyifu kwenye mitihani
Published on: October 27, 2016 09:20 (EAT)
Wizara ya elimu imeweka mikakati ya kuzuia wizi wa mitihani kwenye mitihani ya mwaka huu ya KCPE na KCSE. Hayo yamebainishwa na waziri wa elimu Dkt. Fred Matiang’i na kama anavyotupasha Lulu Hassan, walimu wasiohusika na mitihani hiyo hawatoruhusiwa kukaribia shule wakati huo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment