Mikutano ya kampeni ya Jubilee huko Nyeri yaahirishwa


Kampeni za Jubilee zilizopangiwa kufanyika katika kaunti ya Nyeri, zikiongozwa naye Rais Uhuru Kenyatta pamoja na naibu wake William Ruto ziliahirishwa hii leo kwa sababu ambazo hazijabainika. Hata hivyo, mkewe rais Margaret Kenyatta amekuwa akizunguka kaunti za Transnzoia na Pokot Magharibi kumuombea mumewe kura.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: A section of Jubilee MPs jittery with Kenyatta-Odinga pact

Story By Majanga Michael
More by this author