Mikutano ya Nasa yatibuka Thika, Murang’a


Mikutano ya muungano wa NASA katika kaunti za Murang’a na Kiambu ilisambaratishwa baada ya wafuasi wanaodaiwa kuwa wa chama cha Jubilee kuzua rabsha katika mikutano hiyo. Maafisa wa polisi walilazimika kutumia vitoa machozi na kufyatua risasi angani kuwatawanya wafuasi hao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Stephen Letoo
More by this author