Minunguniko yasikika katika mrengo wa NASA
Published on: January 13, 2018 08:03 (EAT)
Hatima ya kuapishwa kwa kinara wa NASA Raila Odinga huenda ikakosa kufanyika baada ya manunguniko kuwepo katika muungano huo. Ripoti zimearifu kuwa baadhi ya vinara wamepinga kufanyika kwa hafla hiyo ya kuapishwa kwa Raila, swala ambalo limepelekea vinara hao kuitisha kikao cha dharura Jumatatu ijayo.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment