Minyororo ya heroini

Matumizi ya dawa ya kulevya aina ya heroini yanazidi kukanganya serikali na washikadau kwa jumla hasa kwa kuwa madhara yake kwa jamii ni mengi na makubwa. Mwanahabari wetu Ann Mawathe anaangazia kliniki ilioanzishwa na serikali ya kaunti ya Nairobi kwa minajili ya kuwapa matibabu waraibu wa dawa ya kulevya aina ya heroini.

Tags:

Mombasa Nairobi dawa za kulevya Mihadarati

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories