Mipango ya kumwapisha Raila inaendelea
Published on: December 08, 2017 08:18 (EAT)
Muungano wa upinzani NASA umeweka bayana mwelekeo utakaochukuliwa na bunge la mwananchi, ambao unanuia kushinikiza kuwepo kwa uchaguzi mpya mapema mwaka ujao. Wanadiplomasia wa kigeni wamefanya kikao na muungano huo mapema leo, katika juhudi za kutafuta mwafaka kwenye suitafahamu iliopo
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment