Miraa ni Baraka kwa wengi na kwa wengine ni balaa

Licha ya biashara ya miraa kunoga katika kaunti ya Meru na kuwa tegemeo kwa familia nyingi katika eneo hili swala la watoto wavulana kususia masomo na kuingilia biashara hiyo imekuwa donda sugu sio tu kwa wazazi bali pia kwa wadau katika sekta ya elimu. Kisa cha mwaka 2012 ambapo shule ya msingi ya Kilera iliwasajili watahiniwa 21 wa kike pekee ikiangazia changamoto kuu ya miraa katika sekta ya elimu katika kaunti ya Meru. Mwanahabari wetu gatete njoroge anaangazia taarifa hii katika sehemu ya pili ya makala ya Kisunzi cha Miraa

Tags:

Miraa igembe Kisunzi cha miraa kilera

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories