Mirengo ya Jubilee na Nasa yaimarisha kampeini za uchaguzi
Published on: May 26, 2017 08:48 (EAT)
Naibu Rais William Ruto amewataja viongozi wa pwani kama matapeli kwa sababu ya kutotumia pesa wanazopata za ugatuzi kwa manufaa ya wananchi. Ruto amesema kuwa pwani iko nyuma kimaendeleo kwa sababu ya uongozi mbaya. Haya ni huku viongozi wa Nasa wakiitaja serikali kama ambayo imeshindwa na kazi na kuwawekelea wananchi mzigo mkubwa wa bei ya bidhaa.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment