Misa ya wafu yafanywa kwa wasichana walioangamia shuleni Moi Girls


Biwi la simanzi limetanda katika shule ya upili ya wasichana ya Moi hapa jijini kwenye ibada ya wafu iliyofanyika mchana wa leo. Ibada hiyo ilifanyika kuwakumbuka wanafunzi tisa waliopoteza maisha kwenye mkasa wa moto ulioteketeza bweni moja shuleni humo mapema mwezi huu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author