Mishi Mboko aponea kufungwa

Mahakama ya Mombasa hii leo imetupilia mbali kesi inayomkabili mwakilishi wa wanawake katika kaunti ya Mombasa Mishi Mboko baada ya kudaiwa kutoa matamshi ya uchochezi mwaka 2014. Kulingana na hakimu Julius Nang’ea hapakuwa na ushahidi mwafaka wa kumfunga Mishi dhidi ya madai hayo.

Tags:

Mombasa Mishi Mboko Matamshi ya chuki

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories