Mjane wa Aboud Rogo kuiziliwa kwa siku 7

Katika taarifa zetu za mseto wa kaunti ni kuwa mahakama ya Mombasa imeruhusu polisi kumshikilia Haniya Said Saggar, mjane wa Sheikh Aboud Rogo kwa siku saba hadi watakapo kamilisha uchunguzi wao kuhusu ushambulizi uliotendeka katika kituo kikuu cha polisi huko Mombasa wiki iliopita.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories