Mjomba wa watoto 3 waliopatikana wameuawa azuiliwa na polisi
Published on: May 20, 2017 08:22 (EAT)
Siku mbili baada ya miili ya watoto watatu wa familia moja kupatikana katika Mto Nzoia kaunti ya Uasin Gishu uchunguzi kuhusu mauaji hayo umeanzishwa rasmi huku mjomba yao akizuiliwa na polisi ili aweze kujibu mashtaka kwani inadaiwa kwamba yeye ndiye aliyeonekana na watoto hao kabla wakumbane na mauti yao.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment