Mke wa Yebei ashambuliwa

Lilian Yebei ambaye ni mkewe marehemu Meshak Yebei anaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi mjini Eldoret, alikopelekwa baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya usiku wa kuamkia leo. Ikumbukwe kuwa Meshak Yebei aliuawa katika hali ya kutatanisha, na sasa mkewe anahangaishwa na watu wasiojulikana.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories