Mkewe Rais Atuzwa Shahada Ya Heshima

Zaidi ya maafala elfu tano wamefuzu na vyeti tofauti katika chuo kikuu cha Kenyatta. Ni sherehe ambayo pia ilihudhuriwa na mke wa Rais Bi Margret Kenyatta pamoja na mwenyekiti wa kampuni ya Royal Media Services Daktari SK Macharia. Mwana habari wetu Mudasia Muhambe alihudhuria hafla hiyo na huyu hapa na habari kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories