Mkono Wa Buriani

Profesa Ali Mazrui amezikwa katika makaburi ya familia ya Mazrui katika eneo la Old Town kaunti ya Mombasa mita chache kutoka makavazi   ya Fort Jesus. Viongozi ambao walihudhuria mazishi ya shujaa huyo wakiwemo gavana  na seneta wa kaunti ya Mombasa na kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale, walimtaja  Mazrui kama msomi atakayekumbukwa na vizazi vingi vijavyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories