mkurupuko wa virusi vya Ebola

Wizara ya afya inahofia uwezekano wa mkurupuko wa virusi vya Ebola. Kupitia kwa barua iliyotumwa kutoka wizara hiyo kwa kaunti zote pamoja na mwenyekiti wa baraza la magavana, watu takriban nne wameweza kufariki kutokana na virusi hivyo vya ebola kaskazini mwa demokrasia ya kongo kwenye mpaka wa Afrika ya kati.Kulingana na majaribio 5 ya maabara yaliyofanyika nchini mji mkuu wa Kinshasa tarehe 11 mwezi huu, moja kati yazo ilipatikana na virusi hivyo hatari.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories