Mkutano wa IEBC, Jubilee na NASA waahirishwa


Mkutano baina ya tume ya uchaguzi, chama cha Jubilee na muungano wa Nasa umeahirishwa baada ya Nasa kukosa kuhudhuria. Kulingana na wawakilishi wa Jubilee wakiongozwa na kiongozi wa wengi bungeni Aden Duale, wawakilishi wa muungano wa Nasa pia wanapaswa kuwepo ili kuondoa shaka yoyote kuhusu masuala wanayotaka yarekebishwe likiwemo jopo la kusimamia uchaguzi wa urais.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author