Mkutano wa IGAD wakosa kutoa mwafaka kuhusu wakimbizi wa Somalia

Mkutano maalum wa marais wa nchi za muungano wa IGAD uliopania kutoa suluhu kuhusu suala la wakimbizi wa somalia haukuafikia makubaliano yoyote.
Kenya inapendekeza kurejeshwa kwa wakimbizi wa Somalia makwao huku rais mpya wa Somalia Mohamed Farmajo akisitiza kuwa hali ya ukame imefanya kurejeshwa kwa wakimbizi kuwa ngumu kwani wengi wao wanarudi kambini ili kupata chakula. Kufikia sasa wakimbizi elfu sitini wamerudi Somalia kwa hiari.

Tags:

Farmajo somalia refugees IGAD summit Mohamed Abdulahi mohamed

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories