Mkutano wa NASA Wafanyika uwanjani Muliro, Mathare
Published on: March 24, 2017 08:57 (EAT)
Muungano wa NASA umeikosoa serikali ya Jubilee kuhusu miradi ya maendeleo ambayo Jubilee inajivunia kuikamilisha. Vinara wa NASA waliandaa mkutano katika bustani ya Muliro mtaani Mathare hapa jijini Nairobi, na kuwaeleza wakenya kuwa wana imani ya kushinda uchaguzi mkuu ujao na kwamba wao ndio wataleta mabadiliko.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment