Mkuu wa Facebook, Mark Zuckerberg atua Kenya

Mwanzilishi wa mtandao wa kijamii wa Facebook Mark Zuckerberg amewasili hapa nchini kwa ziara ya kibishara barani afrika. Zuckerberg aliwasili leo na kukutana na waziri wa mawasiliano kwenye chakula cha mchana katika mkahawa wa Mama Oliech hapa Nairobi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories