Mlinzi wa Seneta Wetang’ula ashtakiwa


Simon Lonyia ambaye ni mlinzi wa seneta wa Bungoma Moses Wetangula ameshtakiwa kwa madai ya kuzua vurugu nje ya mahakama ya juu. Afisa huyo mwenye cheo cha konstebo alifikishwa leo katika mahakama ya Milimani na kukanusha madai hayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Citizen Team
More by this author