Mlipuko wa kipindupindu
Published on: June 25, 2017 08:01 (EAT)
Watu wanne wanaripotiwa kuwa katika hali mbaya
Hata hivyo serikali inakanusha kuwepo kwa kipindupindu
Watu zaidi ya ishirini walilazwa katika hospitali tofauti humu nchini
Wengine kumi kutoka eneo la Kasarani walazwa
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment