Moi, Kenyatta wamuomboleza Ntimama

Kumekuwa na shughuli nyingi hii leo nyumbani kwa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe William Ole Ntimama baada ya viongozi kadhaa wa serikalini wakiongozwa na Rais Uhuru Kenyatta pamoja na rais mstaafu Daniel Moi kuzuru familia yake kuifariji.

Tags:

Kenyatta Moi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories