Moto wateketeza mali ya mamilioni sokoni Gikomba

Rais Uhuru Kenyatta ameamuru uchunguzi wa haraka ufanywe kuhusu mkasa wa moto ulioteketeza maelfu ya vibanda na kusababisha hasara ya mamilioni ya pesa katika soko la Gikomba hapa jijini Nairobi.

Tags:

Uhuru kenyatta Mike Sonko Nairobi gikomba

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories