Mpanga mikakati ya NASA David Ndii akamatwa

Mpangaji na mwanamikakati mkuu wa mrengo wa NASA David Ndii amefikishwa katika mahakama ya Milimani na kukosa kufunguliwa mashtaka yoyote. Kinara wa NASA Raila Odinga amekashifu kitendo hicho na kukitaja kama njama ya serikali ya kuwahangaisha wendani wake wa kisiasa. Hii ni katika hali ambayo mkuu wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko ameagiza kuachiliwa kwa Ndii.

Tags:

raila odinga NASA David Ndii

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories