Mpango wa Wings to Fly wanoga wazinduliwa Kasarani

Serikali imeendelea kuhimiza wakenya kuwekeza katika taasisi za  kiufundi humu nchini kama njia moja ya kuhakikishia wanafunzi wanapata mafunzo ya kuwawezesha kupata ajira.

Waziri wa elimu doctor Fred Matiang’i amesema hayo huku akisistiza kuwa vyuo vingi vikuu humu nchini vimeshindwa kutoa nafasi tele za ajira vikilinganishwa na taasisi za kiufundi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories