Mradi wa Maji wa Murang’a sasa ni kaa la moto

Mradi wa maji al maarufu northern water collector unazidi kuwa kaa la moto kwa viongozi wa kaunti ya murang’a huku wakionekana kushindwa kuupinga wala kuunga mkono huku wakishikilia kuwa kwanza lazma wananchi wa eneo hilo wafaidike na maji hayo kabla ya kuelekezwa Nairobi.

Kwa upande wake mrengo wa upinzani unaendelea kushtumu serikali kwa kuendeleza mradi huo licha tetesi za kimazingira zilizoibuliwa na kinara wake raila odinga.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories