Mradi Wa Mama Taifa Wapiga Breki Kwengineko

Kiliniki za magari zilizinduliwa kwa lengo la kupunguza vifo vya kina mama kwenye kaunti.  Mpango ambao sasa umepata mashiko kwenye kaunti saba humu nchini. Hata hivyo takriban miezi mitatu tangu zingine kuzinduliwa, hazijatumika. Kaunti kama Homabay zinalalama kuhusu upungufu wa wahudumu wa afya. Kwingine kama Baringo, mara tu ilipozinduliwa ikarejeshwa Nairobi kwa madai kuwa miundo mbinu yake ilikuwa na tatizo. Je huenda ikasalia ndoto tu ya mkewe rais Margaret Kenyatta kupunguza vifo vya kina mama?

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories