Msafara Wa ‘Bonyeza Ushinde’ Wakita Kambi Kisii

Msafara wa shindano la ‘Bonyeza Ushinde Na Safaricom’  umekuwa katika  Kaunti ya Kisii kwa siku ya pili sasa. Wakazi wa mji wa Kisii, Ogembo, Sengera, Kenyenya, Magenche, Kiango, Nyangusu, Nyacheki, Gesusu, Masimba, Keroka na Keumbu walitumbuizwa leo na msafara huo kando na kujishindia zawadi mbalimbali.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories