Msafara wa Jubilee washambuliwa mjini Mwingi


Msafara wa Jubilee hapo jana haukupokelewa vyema na wakaazi wa Mwingi katika kaunti ya kitui. Hii ni baada ya magari waliokuwa wakisafiria kupigwa mawe na wafuasi wa mrengo wa upinzani.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Apologise to CJ Maraga, Kisii leaders tell Raphael Tuju

Story By Citizen Team
More by this author