Msanii Jaguar auwa watu

Familia  za  vijana  wawili  waliofariki katika ajali  ya barabara ya sagana –makutano   inashtumu   polisi    kuhujumu   juhudi    zao   kupata   haki.

Ajali  hiyo   inadaiwa   kuhusisha   gari   la  msanii    jaguar  mapema    wiki   hii   ingawa   mwanamuziki   huyo   amekana   kuwepo    wakati   wa   ajali   hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories