Mseto wa Kaunti 16/08/2016

Polisi mjini Nakuru wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kutoweka kwa zaidi ya shilingi millioni sita kwenye afisi za KWS katika mbuga ya wanyama ya ziwa Nakuru. Huku Hayo Yakijiri, mahakama kuu imempa mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko makataa ya siku kumi na nne kukamilisha uchunguzi wa kesi ya wakili Willie Kimani, mteja wake Josephat Mwendwa na dereva wa taxi Joseph Muiruri waliouwawa kinyama na maiti zao kutupwa katika mto Oldonyo Sabuk.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories