Mseto wa kaunti

Tukigeukia taarifa zetu za mseto wa kaunti ni kuwa madaktari katika hospitali kuu ya kenyatta wamefaulu kuwatenganisha pacha katika upasuaji uliodumu saa 23 na kwingineko wanafunzi wa darasa la nane watamatisha mtihani wao (kcpe)  hi leo kwa utaratibu uliokuwa ukitarajiwa huku wanafunzi wa kidato cha nne wakitarajiwa kuanza mtihani wao wa kcse wiki ijayo…mwanahabari wetu hassan farah na uketo wa taarifa hii na zinginezo

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories