Mseto wa kaunti

Katika mseto wa kaunti madai ya kipigo cha gavana wa Bomet Isaac Ruto cha kashifiwa vikali na wanachama wa chama cha mashinani..huku viongozi wa odm kaunti ya kwale wakiwa na mikakati ya kumuondoa  naibu wa gavana Fatma Achani kwenye kiti hicho baada ya kujiunga na chama cha Jubilee.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories