Mseto wa kaunti

Taarifa kutoka makueni zinaarifu kwamba shughuli za biashara zilisitishwa hii leo baada ya wenyeji  wanaofanya kazi ya kuteka maji wakitumia punda kuandamana kupinga marufuku iliyowekwa na serikali ya kaunti hiyo.…hassan farah na kina cha taarifa hii pamoja na nyingine katika mseto wa kaunti

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories