Mshukiwa mkuu arejeshwa nchini kutoka Madagascar

Mshukiwa sugu wa ulangzi wa dawa za kulevya ndechumia bilali kimali, atazuiliwa katika kituo cha polisi cha muthaiga kwa siku saba ili kutoa nafasi kwa uchunguzi dhidi yake.

 

Kimali, anayeaminika kuwa mshukiwa mkuu aliyetoweka baada ya oparesheni iliyopelekea kuzamishwa kwa boti lililopatikana na  dawa aina heroine  mwaka wa 2015, alitiwa nguvuni katika kisiwa cha madagascar na kusafirishwa hadi humu nchini hii leo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories