Mshukiwa wa mauaji ya naibu OCS wa Makueni akamatwa

Afisa wa polisi anayedaiwa kumuua naibu OCS wa kituo cha polisi cha makueni Denis Wanjala amekamatwa. Mshukiwa Friday Barasa aliyetoweka baada ya kisa hicho sasa anazuiliwa na polisi kabla ya kufikishwa mahakamani. Taarifa hii na zingine ni katika mkusanyiko wa taarifa zetu za kaunti.

Tags:

Makueni OCS Friday Barasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories