Mshukiwa wa mauaji ya Kabete, apatika amekufa huko Kutus

Mshukiwa wa mauaji ya mkewe pamoja na wanawe watatu katika kijiji cha Muthure huko Kikuyu kaunti ya Kiambu, alipatikana amefariki  hii leo mjini Kutus kaunti ya Kirinyaga.

Tags:

Kikuyu kutus Mauaji ya Kabete

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories