Mshukiwa wa ugaidi akamatwa Mombasa
Published on: October 21, 2017 08:50 (EAT)
Maafisa wanaopambana na ugaidi nchini jana usiku walimkamata mwanamke mmoja mjini Mombasa wakimhusisha na ugaidi. Nancy Nelima ameandaa taarifa hiyo na nyingine kutoka maeneo mbalimbali humu nchini.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment