Mshukiwa wa ulanguzi wa mihadarati atiwa nguvuni Mombasa

Mshukiwa mmoja wa ulanguzi wa dawa za kulevya amekamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa akiwa na heroini yenye thamani ya shillingi millioni kumi. Kwingineko mwanamume  aliyening’inia kwenye helikopta  wakati wa ziara ya viongozi wa upinzani huko meru  ameachiliwa kwa dhamana ya shillingi elfu ishirini.

Tags:

Mombasa dawa za kulevya Mihadarati

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories