Msichana Adungwa Visu 10 Kwa Kukataa Kuolewa

Hebu tafakari, mtu yuataka kukuoa ila mbegu ama chembe chembe za mapenzi hazijaota kwako, kimsingi humpendi, lakini mtu mwenyewe anakupangia mabaya, mnapokutana unajaribu kumuelezea hisia zako, ila hataki kuelewa wala kusikia. Anaamua kukudunga kisu. Ndiyo masaibu ya mwanamwali mmoja huko Marigat kaunti ya Baringo. Na kama anavyotuarifu Mbaruk Mwalimu, majeraha hayo yamemfanya msichana huyo kuwa mlemavu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories