Msichana ahangaika kwa kukosa matibabu Kwale

Mgomo wa madaktari umemfanya Sharika Galigalo msichana wa  miaka 14 kutoka kijiji cha Bodo  kule Msambweni kaunti ya Kwale anayeugua saratani ya ngozi  pamoja na mdomo kwa zaidi ya miaka  10 kuishi bila ya matibabu. Sharika alitegemea hospitali za umma ambazo zimefungwa kwa zaidi ya miezi miwili sasa. Imebidi aache hata shule na kubaki nyumbani akihangaika. Nicky Gitonga ameandaa taarifa hiyo kwa mapoana na marefu.

Tags:

KWALE Msambweni Mgomo wa madakatari Saratani ya Ngozi Sharika Galigalo

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories