Msichana aliyeangaziwa na citizen apata usaidizi

Serikali sasa inawataka wanafunzi nchini kuweza kujiandikisha na halmashauri ya kutoa mkopo kwa wanafunzi  kila mwaka.(HELB) hii ni kulingana na waziri wa elimu kwamba kila mwaka serrikali inatenga takriban billioni 10.3 ya fedha ili wanafunzi wa vyuo vikuu na zile za kifundi kuweza  kupata fedha hizo na kuendelea na masomo yao. hata hivyo sio wengi wanaojitokeza kutumia fedha hizo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories