Msichana Sharika Galgalo asaidiwa na shule

Sharika Galgalo Msichana Wa  Miaka  14 Anayeugua Ugonjwa Wa  Saratani Ya Ngozi Na Mdomo Kwa Zaidi Ya Miaka 10 Hali Ambayo Ilimfanya Kukatiza   Masomo Yake, Baada  Ya  Kutengwa  Na Wanafunzi Wenzake  Na Jamii  Kwa Jumla Kutokana Na Changamoto Za Kiafya  Zinazomkabili .

Sharika Sasa Amepata Afueni Baada Ya Nipashe Kuangazia Masaibu  Yake  Mwezi Mmoja Uliopita Ambapo Shule Ya Msingi Ya Watoto Wenye Uwezo Maalumu  Likoni School For The  Blind Imemuokoa Na Kumuandikisha  Na Kujiunga Na Darasa La Pili Shuleni Humo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories